JUAN MATA ATAKA IBRAHIMOVIC ASAJILIWE MANCHESTER UNITED
JUAN MATA AKIWA NA KOMBE ZAKE
Kiungo mchezeshaji wa manchester united Juan Mata ametoa ya moyoni baada ya kusema wazi wazi kuwa angependa kucheza na mshambuliaji wa PSG na timu ya Taifa ya Sweden Zlatan Ibrahimovic siku moja acheze nae katika timu ya Manchester united, Zlatan ameweka wazi kuwa hato weza ku-sign mkataba mpya PSG
JUAN MATA AKIWA CHELSEA
Mata mwenye Degree ya Uandishi wa habari alichezea klabu ya Chelsea kabla haja ondoka kwa dau la paund milion 37 baada ya kutokuwa na mipango na Mourinho. meongeza kuwa endapo mchezaji huyo atachukuliwa itakuwa faida kubwa kwa timu hiyo.
Ibarahimovic ni miongoni mwa wachezaji ambao ameweka historia ya kipekee ya kucheza timu nyingi na kila timu anayo cheza huwa ana chukua ubingwa ameanzia Ajax,Ac milan,Inter Milan,barcelona na sasa PSG
JUAN MATA AKIWA MANCHESTER UNITED
Post a Comment