IJUEE MAANA YA " Ndi Ndi Ndi " YA LADY JAY DEE ______ IPO HAPA !!!
Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ya EATV Lady JayDee amesema kwamba maana ya wimbo huo ni ‘The Ndi Mimi ni kitu Tori wewe si kitu’ ili kuleta fleva ya muziki ndo akaiita NdiNdiNdi. ‘Mimi ni kitu na wewe si chochote’.
Wimbo huo video yake imeruka kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ambapo mashabiki wa Bongo Fleva walishiriki moja kwa moja kwa kumpongeza msanii huyo pamoja na kuuliza maswali mbalimbali ambayo aliyajibu papo kwa hapo.
PIA WAWEZA KUJIPATIA WIMBO WA LADY JAY DEE - NDI NDI NDI , HAPA
Post a Comment