SNOOP DOGG and WIZH KHALIFA KUTO ENDELEA KWA TAMASHA LAO IKIONYESHA KUWA WATU 42 WAMEUMIA .
Mashabiki 42 wamejeruhiwa kwenye show ya Snoop Dogg na Wiz Khalifa huko Camden, New Jersey.
Ajali hiyo ilitokea baada ya uzio unaotengenisha stage na mashabiki kuanguka na kuwafanya watu wa mbele waangukiane.
Post a Comment