Header Ads

DRAKE ANATAKA MTOTO NA MSANII RIHANNA .


Na tunathubutu kusema The Biggest Gossip kwa sasa mjini ni mpango wa Drake kuanzisha familia ya rnb staa Rihanna.

Taarifa kutoka kwenye jukwa la show ya Drake aliyofanya na Rihanna kwenye ziara yake ya Ovo inasemekana rapa huyu alikuwa wazi kwenye jukwa na kusema anataka mtoto na Rihanna.

Kauli hii imemtoka Drake kwenye show ya saba ya OVO Fest kwenye ukumbi wa Air Canada Centre mjini Toronto, Canada.

Rihanna anatajwa kuwa na Drake kwa sasa baada ya kuachana na Travis Scott, pia aliwahi kuwa na Chris Brown.

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.