PICHA ZA BIRTHDAY YA TIFFAH DANGOTE .
Tarehe 6 August 2016 ilikuwa siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Diamond Platnumz ‘Tiffah Dangote’ na mengi yalitokea mitandaoni zikiwemo salamu nyingi za Kheri ya kuzaliwa kutokakwa watu maarufu nje na ndani ya Tanzania.
Kutoka kwenye kurasa za instagram za wazazi wake Diamond Platnumz na Zarinah Hassan hizi ni picha chache za siku hii Special kwa mtoto wao Tiffah.
Post a Comment