Header Ads

VANESSA MDEE " V MONEY " ADAI AUDIO KALI KUJA MWAKANI NA BARNABA

Vanessa Mdee amethibitisha kufanya wimbo mwingine na Barnaba ambao utatoka mwakani.

Image result for vanessa mdee


Hitmaker huyo wa Cash Madame ambaye aliwahi kufanya wimbo wa ‘Siri’ na msanii huyo ambao ulitoka mwaka jana amesema kupitia mtandao wa Instagram kuwa wimbo huo ni moto hatari.
Kupitia mtandao huo, Vanessa ameandika:
GENIUS @barnabaclassic mkisikia kitu tumewa andalia kwa ajili ya 2017 uwiii MoTO MOTO MOTO @barnabaclassic

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.