Header Ads

BIFU MPYA INAYOTREND KENYA SASA NI HII.

collage-2
Beef imeibuka kati ya msanii Bobby Mapesa na Godfather wa muziki wa Genge’Nonini’ baada ya Bobby kumdiss Nonini na P Unit.
collage-2
Kwenye wimbo wake mpya ‘Tuzidi -Bobby Mapesa & Calvo Mistari’  Bobby Mapesa anasema “Nilifyeka mgenge kwa mtoto mzuri  akazaa ile unit saa hii imebeat…”  akimaanisha “I hooked Mgenge, with a good girl who gave birth to that Unit that is now irrelevant”
Rapa Nonini hakuchelewa kujibu mashambulizi kwa kusema “Unajiitaje Mapesa na hata huwezi kulipa kodi ya nyumba na hata kununua gari?

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.