Header Ads

BEKI WA ZAMANI MAN CITY ADAM JOHNSON AHUKUMIWA MIAKA 6 JELA

                                        ADAM JOHNSON                                                    

Beki wa zamani wa Manchester city na raia wa England Adam Johnson ameonekana na hatika katika kesi yake iliyo kuwa ina endelea ya kufanya mapenzi na msichana mwenye miaka 15 kesi hiyo iliyo funguliwa tangu mwaka uliopita ameonekana na hatia hiyo leo baada ya jaji wa kesi hiyo  Jonathan Rose  kuiambia mahakama kuwa Adam Johnson anatakiwa kulipa Paundi Milion 50,000 na gharama nyingine paundi 67,132 


                                                ADAM JOHNSON                                        

Jaji Rose ameiambia mahakama kuwa Johnson atatumikia kifungo cha miaka 6 jela kwa kosa hilo la kufanya mapenzi na msichana alie na miaka 15

Johnson ameonekana Hana hisia mbaya baada ya kusomewa na kutolewa hukumu yake ya leo na jaji Rose

Mmoja ya walie shududia shitaka hilo alie fahamika kwa  jina la Sampson amekubali maamuzi hayo na kusema kuwa hili ni fundisho kwa wachezaji nyota kuweza kujifunza kutokana na kosa hilo la Adam.

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.