ALI KIBA AIMALIZA BIRTHDAY YAKE KWENYE MBUNGA ZA WANYAMA.
Leo November 30 tunaweza sema ndio siku ya kwanza alikiba anauwona uso
wa dunia kwa baraka za mungu kumleta kijana huyo anaefanya vyema kwenye
muziki wa kizazi kipya.
YounGskillz imezinyaga picha za maeneo kadhaa ya msanii huyo jinsi alivyoisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa mbugani.
ALI KIBA na BARAKA DA PRINCE
YounGskillz imezinyaga picha za maeneo kadhaa ya msanii huyo jinsi alivyoisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa mbugani.
Akiwa anafanya utalii mbugani serengeti.
ALI KIBA na BARAKA DA PRINCE
Post a Comment