Header Ads

DIAMOND PLATNUMZ AMWAGIWA MISIFA NA MTV BASE NA KUPEWA CHEO CHA UFALME "

Image result for diamond platnumz
'KIDOGO' Ndio habari ya Town Kwa Sasa?.  Kituo cha tv cha kimataifa MTV Base kimeipa sifa kubwa video mpya ya Diamond Platnumz aliyowashirikisha P Sqaure kutoka Nigeria. Video hii ni KIDOGO.

Ukiacha kuipa sifa kuwa ndio video bora kwa sasa AFRICA ila pia MTV Base wanasema Diamond ndio MFALME WA MUZIKI WA AFRICA MASHARIKI ‘King OF East African Music’

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.