PICHA ;- TYGA KUMZAWADIA MCHUMBA WAKE "Kylie Jenner" ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE.
Kylie Jenner and Tyga
Mpenzi wa rapa Tyga amepokea zawadi nyingine ya kifahari kutoka kwa mpenzi wake. Rapa Tyga amempa Kylie Jenner gari mpya aina ya Maybach kwenye siku yake ya kuzaliwa akiwa anafikisha miaka 19.
Tyga aliwasiliana na kampuni inayotoa magari kwa watu maarufu ya Richie Rich, na gari hio imelipiwa dola laki mbili na mbili na elfu ishirini.
Kylie anafikisha miaka 19 mnamo August 10.
“Happy early birthday to me,” she gushed in a video posted on the social media platform. “Yay! I love you T.”
Mwaka jana Tyga alimpa gari mpenzi wake huyu alipofikisha miaka 18, ilikuwa ni gari aina ya Ferrari 458 convertible.
DOWNLOAD AUDIO ZA TYGA HAPA !!!
Post a Comment