Header Ads

MUONEKANO MPYA WA MSANII Raymond wa " WCB ".



Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki, Kwa Mimi ninavyoona kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana. Wewe Una Maoni Gani ?



Kamuiga Msanii Mwezake Shollo Mwamba Muimbaji wa Singeli. Ambayo SINGELI kwa sasa ni aina ya Muziki ambao unapendwa sanaa na watu hapa Nchini Tanzania. Ebu toa maoni yako katika ukurasa wetu wa " YoungGskillz " Facebook .

AUDIO/DOWNLOAD ;- Raymond - SHIKWAMBI
   Download Here !!

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.