IJUE RATIBA YA MICHEZO YA "Olympic Games Rio 2016" JINSI ITAKAVYO KUWA INASHIRIKI
Michezo ya Olympic yatafunguliwa siku ya Tarehe 5 - August mwaka huu . Zimebakia masiku mawili kufunguliwa kwa Olympic huko jijini BRAZIL ambako Mashindano hayo yatafanyika jijini BRAZIL . Hiyo basi YoungGskillz Wanakusogezea RATIBA YOTE YA OLYMPIC "RIO" kwa jina Lingine Ivyo Basi Kaa Mkaoo wakula kwa Msimu huu wa Olypmic .
RATIBA YA OLYMPIC IKO HIVI__!!!
Yatafunguliwa Tarehe 5 - AUGUST Saa 7;00 pm
KUOGELEA
Kwa Wanaume Pekee Meter 400m itakua ni MEDALY J"mosi - Aug 06
" Final " Saa 9;03 pm
KUOGELEA
Kwa Wanaume Pekee Meter 400m itakua ni FREESTYLE J"mosi - Aug 06
" Final " Saa 9;03 pm
KUOGELEA
Kwa Wanawake Pekee Meter 400m itakua ni FREESTYLE J"pili - Aug 07
" Final " Saa 10;01 pm
KUOGELEA
Kwa Wanaume Pekee Meter 400m itakua ni FREESTYLE "relay" J"pili - Aug 07
" Final " Saa 10;54 pm
MEDAL AMBAZO ZINAGOMBANIWA NI
Kuna
- GOLD
- SILVER
- MOBESRZ
JIUNGE NA MIMI MWANA - HABARI WAKO YoungGskillz
Post a Comment