Baada ya kusamba kwa video ya Wema Sepetu na Calisah wakipeana mabusu kitandani, Wema ametumia instagram yake kumchana Calisah kwa kuandika kuwa jamaa alikuwa anataka kiki kutoka kwake. Post Za Wema zilisema “You were realy hungry for fame”
Post a Comment