NUH MZIWANDA ATARAJIA KUPATA MTOTO KWA MKEWE " Nawal "
'Hayawi
hayawi sasa yamekuwa' tunaweza kuutumia vyema msemo huo wa wahenga
wenye dhamira ya jambo lisilo tarajiwa limetokea. tayari yamekatika
majuma matatu tangu msanii Nuh Mziwanda kufunga ndoa na mwanamke
ajulikanaye kama Nawal.
Wiki
hii Nuh mziwanda ama make-headline kwa kuamua kuonyesha urijali wake na
heshima ya kwanza unayotakiwa kuonyesha baada ya kuoa.
Mziwanda anatumia ukurasa wake vyema na kuusanukia sababu za yeye kuonyesha matunda baada ya 21 tangu harusi yake.
Post a Comment