EVENT ;- DOGO JANJA KUFIWA NA BABA YAKE MZAZI.
Msanii anaesimamiwa na Tip-top Connection inayoongozwa na Madee,anamasikitiko makubwa kwa mumpoteza baba yake mazazi,
Dogo janja ametumia ukurasa wake wa instagram kupa taarifa kumuaga baba yake mzazi ambae walionana kwa mara ya mwisho alipokuwa na fiesta mkoani kwao.
"Pumzika kwa amani Baba yangu kipenzi hakika mungu amefanya maamuzi yake siwezi kukufuru zaidi ya kukuombea kwa Allah akupe kauli thabeet!Umelala baba yangu sitokuona tena!Eeeh mungu mpokee muondolee adhabu za kaburi lala baba hakika wote njia yetu ni moja.siku tutaonana tena baba! R.I.P. kamanda ABUBAKARI CHENDE.
YoungGskillz wamekusogezea post aliyoiweka dogo janja kwenye ukurasa wake wa instagram.
https://www.instagram.com/p/BNmbu40jej7/?taken-by=dogojanjatz
Post a Comment