Header Ads

TEKNO - " PANA " YAONGOZA KWA KUCHEZWA NCHINI NIGERIA .

Wimbo, Pana wa Tekno unaongoza kwwa kuchezwa mara nyingi zaidi kwenye vituo vya redio vya nchini Nigeria.

15253084_239761613109753_1396347116934135808_n

Nyimbo nyingine za wasanii kutoka nje ya nchi hiyo zilizoingia kwenye Top 10 ya nyimbo zilizochezwa zaidi kwa wiki iliyopita ni pamoja na Bruno Mars (24k Magic) na Tory Lanez (Luv).
ashanti-ja-rule-atl
Tazama Top 10 hiyo hapa chini.
1: Tekno – Pana
2: Bruno Mars – 24k Magic
3: P-Square – Bank Alert
4: Prokassy – Imma
5: Timaya – Bang Bang
6: Joe El – Do Good
7: Phyno ft. Olamide – Fada Fada (Ghetto Gospel)
8: D’Nyra – Jabole
9: Illbliss ft. Reekedo Banks, Mr. Eazi – Jawonlaya
10: Tory Lanez – Luv

TEKNO ( AUDIO/DOWNLOAD )

TEKNO - PANA 









No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.