PICHA ZA UTOTONI ZA MASTAA WA SOKA ( REYES,DECO,KROOS,NA NGASSA )
Alhamisi ya October 13 2016 kabla ya siku haijaisha mtu wangu naomba nikusogezee TBT picha za mastaa wa soka, leo naomba nikusogezee picha za utoto za staa wa mkongwe wa FC Barcelona Deco, mkongwe wa zamani wa Arsenal Antonio Reyes, kiungo wa Real Madrid Toni Kroos na winga wa Tanzania Mrisho Ngassa.
Deco
Deco
Mrisho Ngassa
Mrisho Ngassa enzi zake za utoto
Toni Kroos
Kutoka kushoto ni Toni Kroos
Antonio Reyes
Post a Comment