ALI KIBA, DIAMOND, WEMA, ZARI KUWANIA "Abryanz Style and Fashion Awards 2016"
Orodha ya wasanii watakaowania tuzo za mitindo za Abryanz Style and Fashion Awards 2016, Ijumaa ya Disemba 9 kwenye ukumbi wa hotel ya Serena mjini Kampala imetoka.
Tanzania inawakilishwa na mastaa kadhaa wakiwemo Alikiba, Wema Sepetu, Diamond Platnumz, Martin Kadinda, Sheria Ngowi, Jokate, Jacqueline Wolper, Ommy Dimpoz, Idris Sultan, Jux na wengine.
Hii ni orodha kamili ya vipengele watakavyowania wasanii wa Tanzania kwenye tuzo hizo.
Post a Comment