YAMOTO BAND KUTUA COKE STUDIO AFRICA ( By PICHA )
Yamoto Band ni miongoni kati ya wasanii waliochaguliwa kushiriki kwenye msimu wa nne wa kipindi cha Coke Studio Africa kinachofanyika jijini Nairobi, Kenya.
Wasanii wengine kutoka Bongo waliochaguliwa kushiriki kwenye kipindi hicho ni pamoja na Joh Makini, Vanessa Mdee na Diamond. Tazama hapo chini picha zao.
Post a Comment