Header Ads

NAVY KENZO aka THE INDUSTRY WATAMBULISHA APP YAO .

1
Label ya music Tanzania The industry ambayo inamiliki wasanii kama WILDAD, ROSAREE, SELINA pamoja na kundi la NAVY KENZO yatambulisha app yao ambayo itasaidia mashabiki wao kupata info zote kuhusu label hiyo.
2
App hiyo ambayo wameipa jina la TIMA kwa kirefu chake ni THE INDUSTRY MUSIC APP itakua inasaidia kutoa info mbali mbali ikiwemo kama ratiba za shows zote,picha pamoja na taarifa mbali mbali kuhusu wasanii wa The industry music label  
First lady wa label hiyo AIKA ambaye pia ni mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo amesema kuwa walikuwa wanatafuta namna watavyoweza ku communicate na mashabiki wao kwa  urahisi na kuwapa exclusive za matoleo ya kipekee.
“Yah unajua ni ngumu kuongea na shabiki mmoja mmoja harafu ukaweza kuwafikia wote kwa wakati mmoja, so instead of vyombo vya habari tu  tukaona tutafute namna tutavyoweza kuwafikia mashabiki wetu kwa wakati, so app yetu ita contain vitu vingi kama behind the scene za videos,songs,our shows pamoja na The industry label news ”alisema AIKA
Pia ametoa maelezo namna mashabiki watakavyoweza kuipata App hiyo
“Yah unaingia kwenye google play store una search TIMA baada ya kuipata and then una download na kuanzia hapo utakuwa unapata hizo info hizo” AIKA
3

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.