PICHA ;- IKIMUONYESHA RICH MAVOKO KUSAINI KUJIUNGA NDANI YA KUNDI LA " WCB "
Imetimia ! Leo ni siku kubwa na muhimu sana kwa Label ya WCB Wasafi. Zimekuwepo tetesi nyingi sana kuhusu tukio hili ila sasa imekuwa kweli na rasmi utambulisho wa msanii mpya wa WCB Wasafi baada ya Harmonize na Raymond ambaye sio mgeni kwenye muziki wa bongo fleva pia kwa mashabiki naye ni Rich Mavoko ambae kwa sasa atakuwa chini ya label hii kubwa ya music Tanzania . Diamond Platnumz amemkaribisha Mavoko kama unavyoweza kujionea hapo chini..
Post a Comment