Header Ads

VIDEO;- DAVIDO ATUA CONGO BRAZAVILLE........SHABIKI WA DAVIDO ANGUA KILIO

Uwepo wa mashabiki kwenye sanaa ya staa yeyote ni kitu ambacho tumezoea kukiona ila kuna ule ushabiki wa damu mpaka mtu analia kwa kutoamini kama amekutana na staa anayemkubali ambaye amekua akimuona tu kwenye TV na kusikiliza nyimbo zake.
Imetokea kwa mwimbaji wa Nigeria Davido wakati alipotua Congo Brazaville kwa ndege binafsi akakutana na shabiki anaeonekana kuwa muhudumu wa Hoteli ambaye aliangua kilio sio mchezo baada ya kumuona Davido, kwenye hizi video hapa chini Davido anaonekana akimbembeleza.


.
.

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.