Header Ads

YOUNG DEE ANAAMINI " BABU TALE AMEKOSEA KUFANYA HIVI KWA MKALI WA HIP HOP CHID BENZ,"

Headlines za msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz zinazidi kuchukua nafasi katika mitandao mbalimbali, sasa March 21, 2016 meneja wa Diamond Platnumz amepost video kwenye instagram akiwa na rapper huyo na anasikika akisema..’Mungu tusimamie, tusaidie, mjalie Tale, nijalie na mimi tunaomba mengi tutakuwa na mengi, tutakuwa na vingi tutaenda sehemu nyingi tutafanikiwa’ – Chid Benz
Baada ya video hiyo kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo, rapper Young Dee aliandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema‘Nimeona hii post nikajiuliza! Kwa hali Kama hii sio mwanzo mzuri kama ni mwanzo wa kumsaidia chidi.. Haonekani vizuri– Young Dee
Challenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..! Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale umeniangusha Kwa hili.. Starting to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania’ – Young Dee

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.