YEMI ALADE ASUBIRIWA KWA HAMU.
Album mpya ya Yemi Alade “ Mama Africa ” yenye wimbo kama “Na GODE”, “Do As I Do” na “ FERRAIR ” imetajwa kuwa album inayosubiriwa zaidi Afrika kwneye mtandao wa iTunes unaouza muziki wa sehemu tofauti duniani.
Yemi Alade alitangaza habari hii nzuri kuhusu album yake yenye wasanii kama P-Square, Sarkodie, DJ Arafat, Selebobo, Sauti Sol na Rotimi Keys.
Post a Comment