Mbunge wa Mikumi kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mh Joseph Haule A.K.A Profesor Jay
Amewaweka tayari mashabiki wake kuwa muda si mrefu ataachia ngoma mpya ambayo itakuwa kali sana kwa mujibu wa maelezo yake kupitia E.fm
“Ubunge ni kazi niliyo nayo sasa ila hainizuii kufanya muziki japo kama nitaitwa kufanya show zitakuwa kwa ajili ya kusaidia jamiii ambao wanaishi katika mazingira magumu” amesema Profesor Jay.
Post a Comment