PICHA ZA WAHU ZASHANGAZA WENGI HUKO KENYA.
Msanii wa muziki kutoka Kenya ambaye ni mke wa Nameless ‘Wahu Kagwi’ amekuwa mtu anayeongelewa zaidi kwenye mitandao ya kijamii Kenya baada ya kufikisha miaka 36 jana akiwa na muonekano wa mtoto wa miaka 26.
Nameless aliandika hivi kwaajili ya siku ya kuzaliwa ya Wahu “Heyooooo Fam!! Help me wish this Hot mama a happy birthday… with every year you keep getting more and more beautiful and wonderful !!! I am blessed to have you in my life…HAPPY BIRTHDAY BABE!!!!” Wrote Nameless.
Wahu alifunga ndoa na Nameless akiwa na miaka 26 ikiwa ni miaka kumi iliyopita.
Lady Jaydee, Akothee, Avril na wasanii wengine kutoka Afrika Mashariki walimpa S/O wahu kwenye bday yake na wengi wakidai kuwa hana muonekano wa miaka 36 ila ni kama ana 26.
Post a Comment