Header Ads

HII NI PICHA YA NYUMBA ALIYOISHI MHE.JAKAYA KIKWETE MIAKA 41 ILIYOPITA UKO SINGIDA


Kama ulikua hujui, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Jakaya Kikwete safari ya kuanza kukitumikia chama aliianzia ndani ya mkoa wa Singida.
Kwenye picha hiyo hapo juu, ni jana akiwa Singida kasimama mbele ya nyumba alimoishi mwaka 1975 akiwa katibu msaidizi wa TANU.http://younggskillzmusicshare.blogspot.com/,

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.