DIEGO COSTA AMESHTAKIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU NA FA
Diego Costa ameonekana aking’ata Barry kwenye mechi yao ambapo hadi alama za meno zilionekana kwenye picha video. FA imetoa statement kwamba, “Ni tabia isiyokubalika, baada kuonyeshwa kati ya pili ya njano na bado anaonyesha tabio isiyokubalika uwanjani. Hadi Alhamisi saa 12 jioni ndio muda aliopewa kutoa maeleozo”
Aidha, amepewa hadi Jumatano kutoa ufafanuzi kwa FA kuhusu ishara aliyoitoa kwa mashabiki wa Everton alipokuwa akiondoka uwanjani wakati wa mapumziko.
Kwa hiyo hadi Alhamisi ambapo Costa atatoa maelezo kuhusu hili tatizo na chama cha soka cha England kitatoa hukumu yake juu ya Costa.http://younggskillzmusicshare.blogspot.com/
Post a Comment