ALIYEKUA MKUU WA BARCLAYS " KUNUNUA BARCLAYS AFRIKA "
Mtu aliyekuwa akiendesha Benki ya Barclays nchini Uingereza anatafuta usaidizi wa kuwekeza katika benki ya Barclays barani Afrika ,gazeti la Financial time limeripoti.
Bod Diamond amesifika kwa kupanua maslahi ya benki ya Barclays Afrika hadi pale alipolazimika kuiwacha benki hiyo.
Baadaye alianzisha Atlas Mara,kampuni ambayo inaangazia kuwekeza katika benki za Afrika.
Mapema wiki hii,Barclays ilisema kuwa itauza hisa zake katika biashara zake za Afrika.
Imeripotiwa kuwa Bod amefanya mazungumzo na wawekezaji muhimu.http://younggskillzmusicshare.blogspot.com/,
Post a Comment