Header Ads

TANZANIA;- MKURUNGENZI WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE AFARIKI DUNIA


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Mhandisi Suleiman Said Suleiman
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airport Association) nchini Mhandisi Suleiman Said Suleiman amefariki dunia wakati akifanya mazoezi ya kuogelea katika Bahari ya Hindi leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
http://younggskillzmusicshare.blogspot.com/,
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Mamlaka hiyo amesema kuwa msiba wake uko nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam na atazikwa katika makaburi ya Kisutu leo saa 10 jioni.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.