Header Ads

MSHINDI WA KWANZA NA WA PILI WA KIDATO CHA NNE 2015 [ KWENYE UBORA WAO ]


                          Image result for Mshindi wa kwanza matokeo ya kidato cha nne
Huyu ndiye Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza  Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne  toka  shule  ya  Canossa Girls.Anaitwa Butogwa Charles Shija, akiwa mwenye furaha, nyumbani kwa wazazi wake Kipunguni Jijini la Dar es Salaam jana.  
     http://younggskillzmusicshare.blogspot.com/,                  Image result for Mshindi wa kwanza matokeo ya kidato cha nne
Huyu anaitwa Congcong Wang,ameshika Nafasi ya pili Kitaifa.Amemaliza kidato cha nne Feza Girls.Ni  Mtanzania mwenye asili ya China

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.