Header Ads

MBUNGE WA UBUNGO..SAED KUBENEA APANDISHWA KIZIMBANI

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea anafikishwa mahakamani Kisutu muda huu.
Huku ni kuiongezea mahakama mrundikano wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
Kwa mtindo huu lazima Makonda ajitafakari mara mbili mbili

=============
UPDATES;
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesomewa shitaka la lugha ya matusi kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda. Kesi imehairishwa mpaka Des 29, ameachiwa kwa dhamana.

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.