Header Ads

MSANII AIKA KUTOKA " NAVY KENZO " YUKO MBIONI KUISAKA PHD.

               Image result for aika wa navy kenzo
Msanii anayeunda kundi la Navy kenzo Aika Marealle maarufu kama AIKA anafikiria kurudi tena shule ili kuongeza elimu zaidi,Msanii huyo ambaye kwa sasa ana degree ya biashara ambayo alisomea India amesema hayo mara baada ya kupewa nafasi ya kutoa speech fupi kwa wanafunzi wa sekondari ya mwendakulima iliopo kahama walipofanya ziara na wasanii wengine ilikuweka msisitizo kwenye elimu kabla ya show ya fiesta iliyofanyika usiku katika viwanja vya kahama.

                 Image result for aika wa navy kenzo
Mimi ni msanii na nimesoma masomo ya biashara, nina degree lakini pia nitasoma zaidi kupata Masters hadi PhD. Sanaa ni biashara na kusoma kunakuongezea maarifa, naomba muwaheshimu walimu wenu na wazazi wenu” alisema AIKA .

Image result for aika wa navy kenzo

Aidha msanii huyo amewashukuru mashabiki pamoja na wakazi wa Kahama kwa mapokezi yao p[amoja na ushirikiano waliouonyesha .

Pia anawakumbusha mashabiki na wapenzi wa muziki mzuri kuwapigia kura Navy kenzo kwernye tuzo za African Youth Choice Award kwa Kubonyeza iyo PICHA HAPO CHINI au kupitia link ya HAPA SASA 

Image result for http://www.africayouthchoiceawards.org   BONYEZA HAPA KUPIGA KURA SASA !!!

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.