MIUNEKANO MIPYA YA MASTAR IN TZ WA KIKE " HAIR STYLE "

JACK WOLPER Msanii wa Movie za Bongo Movie hapa nchini Tanzania . Huu ni muonekano mpya wake kwa sasa

SHILOLE aka SHISHI BABY , Huu ni muonekano Mpya kwa msani huyu wa FILAMU nchini Tanzania na pia kwa sasa ni Msani wa MUSIKI .

SHILOLE aka SHISHI BABY

JOKATE aka KIDOTI ( * ) , Huu ni muonekano Mpya wa Msanii Huyu wa FILAMU Nchini Tz kwa sasa pia ni muimbaji MUZIKI na Mwana Mitindo .

JOKATE aka KIDOTI ( * )

ELIZABETH MICHEAL aka LULU , Huu ni muonekano Mpya kwa Sasa , Ni Msanii Wa FILAMU Nchini Tanzania alie Jishindia TUZO mwaka huu 2016 kule njee .
MADAM WEMA aka WEMA pia Haja na muonekano mpya mwaka huu , Wema ni Msanii wa FILAMU nchini Tz, pia ni Mliki wa KISS LIPSTICK ambayo inafanya vizury kwa sasa in EASTAFRICA kwa Brand Yake MADAM WEMA.

Post a Comment