Header Ads

KUMBE USIRUDI JELA YA BONTA INAMUHUSU LULU !!!

Kwenye Palaylist za Radio Nyingi Tanzania kwa sasa huwezi kukosa Wimbo wa Mkali Bonta kutoka Kaskazini Wimbo unaokwenda kwa jina la USIRUDI JELA Aliyowashirikisha Nikki Wa Pili na Belle9.

bonta

Kwenye Exclussive Interview na Bonta amezungumzia Ngoma hiyo kwa Kusema kuwa Muziki wa Bongo kwa sasa Wasanii hawazungumzii Mambo ya Kuielimisha Jamii na Ndiyo Maana amekuja na Idea hiyo kwakuwa kuna watu hawajui kama kwenda jela sio kosa yawezekena kuna Wanaokwenda kwa kesi za Kusingizia ila pia Hata kwenda jela sio Issue sana kwa Upande wake ila Kosa kunbwa ambalo mtu hatakiwi Kukubaliana nacho ni Kurudi Jela kwani Ukienda kwa Mara ya Kwanza Umejifunza.
Amemtolea Mfano Msanii kama Elizabeth Michael LULU kwamba alikwenda Jela lakini baada ya Kutoka amekutana na watu waliomshauri Vizuri akayasahau na Kuendelea kupiga kazi na Sasa Tumeshuhudia juzi amechukua Tuzo kule Nigeria.
MSIKILIZE BONTA HAPA CHINI:-

No comments

YoungGskillz.com . Powered by Blogger.